FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

1660457015262.jpg
 
Simba hatutaweza kunywa maji mjini.
Mayele kamaliza mchezo.
Kitakachofuata ni kumpa heshima yake Mayele kuliko kuendelea kumbeza.

Msimu uliopita wa ngao ya hisani ni Mayele huyo huyo aliyetumaliza, leo tena Mayele yule yule karejea kutupiga.

Kama ni mimba, basi ya leo ni mapacha, tena mapacha wanaofanana.
Tena wale wanaofanana aina ya Identical.
 
Simba hatutaweza kunywa maji mjini.
Mayele kamaliza mchezo.
Kitakachofuata ni kumpa heshima yake Mayele kuliko kuendelea kumbeza.

Msimu uliopita wa ngao ya hisani ni Mayele huyo huyo aliyetumaliza, leo tena Mayele yule yule karejea kutupiga.

Kama ni mimba, basi ya leo ni mapacha, tena mapacha wanaofanana.
Identical twins
 
Makolo huu msimu tunaenda kuchukua kila kitu tena maana nyie mmewekeza kwenye propaganda za kijinga.

Zile zama za jiwe na Makondakuharibu timu yetu kisiasa hazipo tena.

This time maji mtaita mma.
Wameyakanyaga siyo
 
Back
Top Bottom