FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Rudia kuisoma comment yako tena.
 
Rudia kuisoma comment yako tena.
Kwani ni uongo! Mayele ni mwepesi kukamiwa! Kuanzia mechi za mwishoni mwa msimu, na pia kwwnye mechi ya jana, hali ilikua ni hiyo hiyo! Na hasa kwenye kipindi cha kwanza Uzuri wake ukimsahau, au ukifanya makosa; anakuadhibu!

Na ndicho kilichofanyika jana. Na ufahamu pia ujumbe huo niliutuma kabla ya kipindi cha kwanza kuisha, huku timu ikiwa nyuma kwa goli moja! Hivyo hakuna jipya hapo. Ulikuwa ni mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…