Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Usiyempenda [emoji23][emoji2957] mayeleeeeKasawazisha nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiyempenda [emoji23][emoji2957] mayeleeeeKasawazisha nani?
Eh basi kashesheNi yule yule Mayele kawatungua tena Simba.
Aaah hii mechi nilianza kuzioana dalili mapema sanaKwahiyo ni mpaka tufungwe goli la pili ndio sub zifanyike??
Nini dogooo?Kmmmmmmmmmmmkkkkkkkkkqqqq[emoji16][emoji16][emoji16]
Tulia bibieTunaanza upya. Dadeki.
Aisee 😂😂😂washabiki wa UTD msijifanye mko busy, mshacvhezea 4-0 huko mpira mapumziko
Nini kimetokeaaposto kuna muujiza
Hii ngao ya jamii inabdi tuichukue kama tunataka kupumua mitaani.Ni yule yule Mayele kawatungua tena Simba.
Huo ukweli ndio viongozi wa Simba na Yanga wanapaswa kuwaambia mashabiki wao sio blah blah za kukuza majina ya wachezaji waliowasajiri.Sidhani kama ni fact sana kwasababu mpaka kupata muunganiko kuna hitaji muda na sio swala la kulipima kwenye mechi mbili
🙄Hata tufungwe kikubwa katetema .
leo saba linakufa timu la wachambuziNa hii ni halftime
View attachment 2323185
Na hii ni halftime
View attachment 2323185
Tulia ndugu.KOCHA KUMMMMMMKE TOA KYOMBO NA MWENDA NITASHUKA HAPO CHINI NIJE NIKUPIGE MAKOFIIIIIII😠😠😠😠
Hii nimeipenda zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hii ni halftime
View attachment 2323185