FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Sidhani kama ni fact sana kwasababu mpaka kupata muunganiko kuna hitaji muda na sio swala la kulipima kwenye mechi mbili
Huo ukweli ndio viongozi wa Simba na Yanga wanapaswa kuwaambia mashabiki wao sio blah blah za kukuza majina ya wachezaji waliowasajiri.

Upande wa pili, kama mchezaji ana kipaji au uwezo mkubwa lazima uwezo huo utaonekana tu uwanjani hata kama timu yake itadorora.
 
Na hii ni halftime
1660411456105.png
 
Back
Top Bottom