kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Nini mkuu
Mayere kazingua mwanangu yan kazingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini mkuu
KafanyajeMayere kazingua mwanangu yan kazingua
Nani atawakemea wakati hata Ahmed Ally na yeye anamuita mzungu (mdhunguuu)
Alikuwa anamaliza mchezo aisee!! Aziz Kii alicheza assit matata sana.Mayere kazingua mwanangu yan kazingua
Hahahaha weee jamaan jau Sana[emoji2]Wanathiiiiiiiimbaaaaaaaaaaahhhh[emoji23][emoji23]
Alikuwa anamaliza mchezo aisee!! Aziz Kii alicheza assit matata sana.
Kazingua sana. Aliyetakiwa atoke ni Mkude na si chama. Na sub ya mbele angepaswa aingie Phiri. Na ni mabadiliko ambayo alipaswa ayafanye mapema sana kipindi cha pili. Kuwaweka mzamiru na Mkude pamoja kati ni kuwapa jeuri akina Fei na Aucho. Very bad tricks imefanyika.KOCHA WA SIMBA HATOBOI HUU MSIMU KUDADEKI MJINGA SANA
Hii mechi ni ngimu! Yeyote atakayeshinda, atakuwa amestahili.
Ehe,Lirudi au li rude?
Pamoja na kuswazisha lakini bado mambo magumu?Hii mechi ni ngimu! Ni derby halisi kabisa.
Hakika yeyote atakayeshinda, atakuwa amestahili.
Timu zote zinacheza vizuri! Lakini pia zina wachezaji wazuri.Pamoja na kuswazisha lakini bado mambo magumu?