FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

KOCHA WA SIMBA HATOBOI HUU MSIMU KUDADEKI MJINGA SANA
Kazingua sana. Aliyetakiwa atoke ni Mkude na si chama. Na sub ya mbele angepaswa aingie Phiri. Na ni mabadiliko ambayo alipaswa ayafanye mapema sana kipindi cha pili. Kuwaweka mzamiru na Mkude pamoja kati ni kuwapa jeuri akina Fei na Aucho. Very bad tricks imefanyika.
 
Back
Top Bottom