Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phiri hayupo hata benchi, mwenda hana confidence anacheza ujinga hu kocha yeye kamuachaKazingua. Aliyetakiwa atoke ni Mkude na si chama. Na sub ya mbele angepaswa aingie Phiri. Na ni mabadiliko ambayo alipaswa ayafanye mapema sana kipindi cha pili. Kuwaweka mzamiru na Mkude pamoja kati ni kuwapa jeuri akina Fei na Aucho. Very bad tricks imefanyika.
Ni mikwaju ya penati bila shaka.Kwa hiyo dakika 90 zikiisha, tutakwenda extra time au mikwaju ya penati?
Ngoma ya Kitoto haikeshiThimba wakimbia uzi wao [emoji28]
Wanathimbaaaaaaaa