FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Kazingua. Aliyetakiwa atoke ni Mkude na si chama. Na sub ya mbele angepaswa aingie Phiri. Na ni mabadiliko ambayo alipaswa ayafanye mapema sana kipindi cha pili. Kuwaweka mzamiru na Mkude pamoja kati ni kuwapa jeuri akina Fei na Aucho. Very bad tricks imefanyika.
Phiri hayupo hata benchi, mwenda hana confidence anacheza ujinga hu kocha yeye kamuacha
 
Back
Top Bottom