FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

.
IMG-20220813-WA0021.jpg
 
Tatizo la simba ni lile lile.Hawajabadilika pamoja nakubadilisha kocha.
 
Sielewi kivipi kocha hakuiona combination safi ya Okra, Okwa, Chama na Sakho. Unaenda kumtoa Chama ambaye alikuwa kwenye form nzuri kabisa. Fukuza Matola haraka Sana. Hii haikuwa game ya kupoteza kabisa. Matola achunguzwe.
 
Hii mechi sijataka kabisa kuiangalia wala kuisikiliza, kocha kaanza na lineup ya kitoto sana
[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji23][emoji28]
 
Sielewi kivipi kocha hakuiona combination safi ya Okra, Okwa, Chama na Sakho. Unaenda kumtoa Chama ambaye alikuwa kwenye form nzuri kabisa. Fukuza Matola haraka Sana. Hii haikuwa game ya kupoteza kabisa. Matola achunguzwe.
Matola ana kosa gani?
 
Back
Top Bottom