FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa

Vikosi vinavyoanza
Yanga.jpg

15’ | #NBCPL Mzize….!!!
Yanga SC 1-0 Singida BS

44’ | #NBCPL Dube….!!!
Yanga SC 2-0 Singida BS
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄
20250217_174521.jpg

65’ | #NBCPL
Yanga SC 2-0 Singida BS

82’: Yanga SC 2-0 Singida BS

83' pacome anakosa goli la wazi

85’ | #NBCPL
Yanga SC 2-0 Singida BS

86’ | #NBCPL
Duke abuya anafanyiwa madhambi

89' Singida BS wanafanya mashambulizi

'90+4 Singida BS wanakosa nafasi ya wazi

FT: Yanga SC 2-1Singida BS
20250217_181453.jpg
 
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa

Vikosi vinavyoanza
Yanga.jpg
Singida.jpg
 
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Yanga Bingwa .....Tunaanza na Kono la nyani.
 
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Muendelee kuwahonga wachezaji na marefa hivyo hivyo ili mshinde....nje ya Hapo mtajua hamjui!
 
mechi ya maigizo hii haina mvuto. Only in Tanganyika, ndio maana mmeishia makundi kule hakuna mchekea.
Hawa jamaa game zao hazina mvuto kabisa, hapa nimeweka ushabiki kando, game ya Azam na Mashujaa ina mvuto Sana kuliko game ya Yanga na KMC......

Kuna umuhimu wa vyombo husika kufuatilia haya ili mwisho wa msimu Marefa wengine wasifungiwe. Tutibu TATIZO sasa hivi
 
Back
Top Bottom