acachube
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 317
- 406
Sowah huyu alisema eng.hersi ni baba yakeMabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.
Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?
Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa