FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida BS
20250217_151825.jpg
 
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Update Uzi mkuu
 
Mnakimbiliakuanzisha Nyuzi hamuwezi kutoa updates wajinga nyie
 
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Mechi ya Baker na Bakari, Singida anapigwa hilo liko wazi
 
Hii mechi sio nyepesi kwa Yanga kama vile watu wanavyodhania. Kumbuka mechi ya kule Zanzibar hadi watu wanataka kupigiana kisa kupaniana, ndivyo na leo Singida lazima wataingia katika mchezo wakitaka matokeo kwa namna yeyote ile.
Hujui nini kilitokea baada ya mechi ile? Kocha Uchebe alifukuzwa kazi kwa kuibania yanga, wasenge kweli hawa jamaa
 
Back
Top Bottom