majebelenzoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 288
- 465
Mipango imeanza, hivi tff hawaoni hawa kenge wanavyopanga matokeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida wako radhi washuke daraja lakini pointi 6 wanampa yanga, ujinga kweli mzigoMadalali nyie mmeona bora Aziz K atapeliwe na huyu mama watoto bila huruma.
Singida anataka nafasi ya 4 pia.Tabora yuko nyuma anampumulia.
Naona draw ya moja moja
huyu kibendera wa chini inaonekana hajashikishwa mpungaSingida wako radhi washuke daraja lakini pointi 6 wanampa yanga, ujinga kweli mzigo
Na yanagawa alama waziwaziNi mwendo wa matawi tu
Hesabu Goli mkuuhuyu kibendera wa chini inaonekana hajashikishwa mpunga
Masalanga tayari anayo na ya kutoleaHesabu Goli mkuu
Twendeni LIVEMods game kubwa hii
wamepumzisha wachezaji sita kwa sababu isiyo na msingiLigi i
Na yanagawa alama waziwazi