Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yes. Hiyo ndiyo sababu ya msingi.Wasiwe majeruhi watakapokutana na simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Hiyo ndiyo sababu ya msingi.Wasiwe majeruhi watakapokutana na simba
Umepiga mule mule😅Ni kama ambavyo Huwa inakuwa mechi ya SIMBA vs AZAM
Sio uongo Mkuu. Na hicho ndo kinafanyika saa hii. 🤣🤣
🤣🤣Yes. Hiyo ndiyo sababu ya msingi.
Unateseka ukiwa wapi?Hili goli la dube ameachwa mwenyewe hata kuzongwa zongwa hakuna. Ameruka akaganda akapiga kichwa.
Mbona kama unalia?Hili goli la dube ameachwa mwenyewe hata kuzongwa zongwa hakuna. Ameruka akaganda akapiga kichwa.
Tulimpa bahasha Spiderman akaucheza mpira uliokuwa unaenda nje Kijiri akamalizia wakaenda kugawana gawio.Hili goli la dube ameachwa mwenyewe hata kuzongwa zongwa hakuna. Ameruka akaganda akapiga kichwa.
Ungeenda kumzonga wewe kolo.Hili goli la dube ameachwa mwenyewe hata kuzongwa zongwa hakuna. Ameruka akaganda akapiga kichwa.