Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hapana mkuu, mm natizama gusa achia hapa, Yanga ni noma.Si ungeenda ukamzonga wewe kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, mm natizama gusa achia hapa, Yanga ni noma.Si ungeenda ukamzonga wewe kocha
Familia?First half
Yanga 2:0 Singida BS
Wale mamluki waliotufungisha goli 5, si mnao kwenye timu yenu kwa sasa.Taarifa ya 5imba Kufungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 ziwekwe wapi?
Huwa nashangaa mpaka watu wanauana kisa utopolo kama huu.Usiwe serious na ligi ya bongo, hakuna mpira hapa...hii ligi haina ushindani ni ligi ya timu mbili wala usipoteze muda wako kuangalia mechi za hii ligi.
Ndio ndioSio uongo Mkuu. Na hicho ndo kinafanyika saa hii. 🤣🤣
Wanaona wivu sana 😀😃😃😃😃Moderator mnajisikia wivu sana kubadili huo ubao
Wewe Mimi hata miezi 16 haijapita uliniachia goli 5 mwanetuYanga ya Dar Vs Yanga ya Mkoani
Dugu moja, Singida lazma atamuachia dada yake
Hahaha.Usiwe serious na ligi ya bongo, hakuna mpira hapa...hii ligi haina ushindani ni ligi ya timu mbili wala usipoteze muda wako kuangalia mechi za hii ligi.
Mashabiki wa Simba hawapo timamu.Hivi Mashabiki wa Simba mnaongea nini😅😅😅 mmecheza na prisons wanacheza nusu uwanja wanawaacha kina Zimbwe wanacheza kwenye box lao dakika 45 zote za kwanza hao wakina ngoma wanapasiana pasi kama wako mazoezini wanakabia macho utasema mpira umesimama na mkafunga 3 tukanyamaza😅😅
Kipindi cha 2 wakaja kukaza mkaondoka na 3 zenu zile zile! Nawaambia Timu zikiwakazia kama JKT au kama wanavyokaziana wao kwa wao mtaondoka na point moja kila mechi! SIngida hata wapange first Eleven yao ya nje Kwanzia kwa Imoro hawatoboi bado hawa Combination na ndo mana match 2 hizi kwanzia ya JKT Rupia/Sowah hawaanzi pamoja hao wakina Arthur hata wakicheza na Kengold wanatokeaga Sub
Pokou mwenyewe hachezeshwagi dakika 90
Tatizo hamuangaliagi match tofauti na za Simba na yanga
Pole kwa maumivu kolo.Mpira wowote ukianza kuuliza integrity(uadilifu) wa league au team ujuwe kuna shida kubwa sehemu. Tufanye uchawi tufanye na mengine yote lakini tusifike huku athari zake ni kubwa sana kibishara na mpira wa nchi. Wenzetu ulaya hata mchezaji mfano alikuwa ana support Man au Liverpool akaenda kucheza team nyingine anapigana aifunge team anayoipenda. Hili suala la Singida ni lazima liangaliwe kwa umakini sana lisiachwe hivi, inakuwa sio sawa kwa team moja kubwa kuwa na team ndogo ikiwasaidia kwenye malengo yao, haipendezi kwa mpira wetu.
Kwa bahati nzuri mimi ni katika watu wachache sina uchungu na team yoyote Tanzania, nikiri utotoni nilikuwa na mpenzi makubwa na Simba lakini kwa sasa sina mapenzi hayo kabisa wala sishabikii team na kiujumla siangalii sana labda niwe sina kazi na hakuna mpira EPL. Haya ma team yenu ya bongo mbaki nayo tu sababu hakuna kitu team zote. Mimi ni EPL nakufa na Liverpool. Nimeongea kama mshabiki wa mpira.Pole kwa maumivu kolo.