FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Yanga isipowaacha wachezaj kama akina Diara Itakua inaoshia Makundi
 
Ndio maana Leo sijaenda uwanjani 😃 😀 😃 😀
 
Ndio hakuna janja janja.

Ndio maana Yanga alicheza fainali ya kombe la shirikisho ambalo nyie makolo mnatambia nalo na hamna uhakika wa kuingia fainali kama yanga.
Enzi za Nabi hamkuwa matapeli. Mlipambana. Mlipoanza utapeli kocha akakimbia.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Game is over Madudunduka yanasoonya nyie kuongoza ligi hadi muifunge yanga march 8 vinginevyo endeleeni kuumia
 
Back
Top Bottom