FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Ukiona Singida kaonewa leta timu yako, Ukiona Singida kaonewa , angalia matokeo yako dhidi ya Yanga ulishawahi kupata ata sare katika michezo mi nne iliyopita?
 
Hamrudi kileleni ng'oo
Simba sc wakikaza mechi zao kwa hizi mechi ndogo ndogo washinde zote ikiwemo ya azam , Simba sc watakuwa mabingwa wa Nbc premier league. Kila mtu ashinde mechi zake ila mechi ya tarehe 8 March 2025 nimeshaiona kwenye ulimwengu wa roho , Simba sc wataibuka na ushindi dhidi ya yanga sc . Magoli yote yatakayo fungwa tarehe 8 March 2025 nimeshayaona ila kuna goli moja atafungwa diarra baada kugusa mpira kwa uzembe, mpira atakaopigiwa na mchezaji wa Simba sc,kutokana na uzembe huo, mpira utampita diarra kwapani na kuingia golini. Baada kufungwa goli hilo ambalo litakuwa dakika za kipindi cha pili , katika ulimwengu wa roho niliona wanayanga wanasonya tu kwa hasira huku dakika zikiendelea kuyoyoma na Simba sc wakiendelea kupeleka mashambulizi kwenye lango la yanga.

Idadi kamili ya magoli niliyoona katika ulimwengu wa roho yatakayofungwa tarehe 8 March 2025 imenishangaza kidogo ila sitaisema mpaka siku yenyewe ifike nishuhudie.

Update: Nb Hii post yangu nilikuwa naitaipu kabla diarra hajafungwa goli alilofungwa leo.
 
IMG_5330.jpeg
 
Jumatatu - Timu nyingi zikicheza na Yanga huwa dhaifu

Jumanne - Wanakaa kileleni kama status za WhatsApp

Jumatano - Yanga imeshuka kiwango msimu huu

Alhamis - GSM anaharibu LIGI

Ijumaa - Msimu huu ni ubaya ubwela

Jumamosi - Bado tunajenga timu
 
Ukiona Singida kaonewa leta timu yako, Ukiona Singida kaonewa , angalia matokeo yako dhidi ya Yanga ulishawahi kupata ata sare katika michezo mi nne iliyopita?
Kwa kipa huyu Diara, Yanga jiandaeni kisaikolojia tarehe 8 Machi
 
Games za Yanga hazina mvuto sijui kwa Nini.
Sio game za yanga TU hazina mvuto, ligi nzima haina mvuto hakuna mechi yenye mvuto ni Bora liende, nakushauri usiwe serious na mpira wa bongo hakuna kitu, kama Leo hunielewi muda SI mrefu utanielewa...ligi haina ushindani ni Bora liende.
 
Back
Top Bottom