Hivi Mashabiki wa Simba mnaongea nini😅😅😅 mmecheza na prisons wanacheza nusu uwanja wanawaacha kina Zimbwe wanacheza kwenye box lao dakika 45 zote za kwanza hao wakina ngoma wanapasiana pasi kama wako mazoezini wanakabia macho utasema mpira umesimama na mkafunga 3 tukanyamaza😅😅
Kipindi cha 2 wakaja kukaza mkaondoka na 3 zenu zile zile! Nawaambia Timu zikiwakazia kama JKT au kama wanavyokaziana wao kwa wao mtaondoka na point moja kila mechi! SIngida hata wapange first Eleven yao ya nje Kwanzia kwa Imoro hawatoboi bado hawa Combination na ndo mana match 2 hizi kwanzia ya JKT Rupia/Sowah hawaanzi pamoja hao wakina Arthur hata wakicheza na Kengold wanatokeaga Sub
Pokou mwenyewe hachezeshwagi dakika 90
Tatizo hamuangaliagi match tofauti na za Simba na yanga