FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Kutoka mwaka 2020 mpaka 2025 kwenye LIGI KUU - Yanga amepoteza mechi 1 dhidi ya Makolo. Miaka 6 ni mingi😂 leo wana nguvu kabisa na wanapaza sauti Singida ni dhaifu kwa Yanga. Aliyewahi kusema Tanzania ni channel ya vichekesho wala hakukosea. 😂🙌🏼 CC Bantu Lady ephen_ Shadeeya View attachment 3239300
😄😄😄😄😄😄😄 habari wanayo madunduka.
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
 
Hii mechi sio nyepesi kwa Yanga kama vile watu wanavyodhania. Kumbuka mechi ya kule Zanzibar hadi watu wanataka kupigiana kisa kupaniana, ndivyo na leo Singida lazima wataingia katika mchezo wakitaka matokeo kwa namna yeyote ile.
Umeangalia kikosi Cha leo Cha sbs
 
Ndomana mwaka huu tumekuja na ubaya ubwela. Simba mechi zote kumi na mbili tunaenda kushinda.
 
Back
Top Bottom