FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Yanga hamna kipa

Kipa unatoka kabisa golini unaenda kuzurula, ni bahati tu shuti halikulenga goli
 
Yanga ina mashimo mengi mno ambayo yanatakiwa yawekwe sawa. Timu haiko balance, kiungo imezidiwa na pressing ni mbovu na kukaba inawapa ugumu. Nabi ana kazi ya kufanya laasivyo hii timu haitoboi champions league
Kupigwa goli moja ndo kimawafanya muutilie mashaka uprofessa wa Nabi? Si juzi tu hapa mlidaj mnaenda kufanya makubwa huko CAFCL?

Kwa maoni yangu kitakachoiangusha Yanga labda ni safu ya mabeki tu, tena kama ikitokea Lomalisa na Mwamnyeto wakianza kwa pamoja.
 
Ila huu mpira uliofunga hili goli ulikuwa tayari umetoka nje
 
Ila build up ya goal ni kituko. Mshika kibendera kashindwa kufanya kazi yake
 
Yanga hapa sasa ndio watapata nguvu ya kufanya mashambulizi makalinl zaidi
 
Back
Top Bottom