Ni faulo ndio nayeye kakubali, ila sio faulo ya kutoa kadi kwa point of view yakeRefa kazingua kweli ile ilikua Foul kabisaaa
Kupigwa goli moja ndo kimawafanya muutilie mashaka uprofessa wa Nabi? Si juzi tu hapa mlidaj mnaenda kufanya makubwa huko CAFCL?Yanga ina mashimo mengi mno ambayo yanatakiwa yawekwe sawa. Timu haiko balance, kiungo imezidiwa na pressing ni mbovu na kukaba inawapa ugumu. Nabi ana kazi ya kufanya laasivyo hii timu haitoboi champions league
Mpira ulikuwa nje..
MbelekoIla huu mpira ulionga hili goli ulikuwa tayari umetoka nje
La mchongoGoooal