FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Uzi unapelekwa na wana Simba wana yangayanga matumbo joto mida hii wakifunga ndo utawaona humu yani hawanaga mchcheto na vitu vyao
Mashabiki wao wengi hawana smartphones, linapokuja swala la social networks mashabiki wa Simba huwa na engagement kubwa sana.

Hili sihitaji kulitolea ushahidi maana lipo wazi.
 
Yanga kuweni makini sana na Morrison ni mchezaji mzuri ila anaweza kawa cost sometimes

Kacheza rough ambayo haikuwa na msingi wowote, kupitia tukio lake kajikuta anaipotezea timu yake muda wa kusawazisha goli
Huyo ni mwehu
 
Hatimae umekubali ? Nikimuangalia namuona Denis Onyango wa enzi zile.
Sijawahi kumdharau huyu golikipa. Na hata CV yake tu huwezi kumlinganisha na mlinda mlango yeyote yule kwenye ligi yetu.

Ila na yeye ifikie wakati amheshimu Fei Toto. Maana siyo kwa moyo huu anao mpelekea.
 
JamiiForums1156215254.gif
 
Back
Top Bottom