Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mashabiki wao wengi hawana smartphones, linapokuja swala la social networks mashabiki wa Simba huwa na engagement kubwa sana.Uzi unapelekwa na wana Simba wana yangayanga matumbo joto mida hii wakifunga ndo utawaona humu yani hawanaga mchcheto na vitu vyao
Hili sihitaji kulitolea ushahidi maana lipo wazi.