FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Wakaka wa humu usione wadada tunaoshabikia mpira humu kwamba labda tuna nyege ni ushabiki tumeanza toka wadogo tuna miaka 7 wengine tumekuta wazazi ni washabiki Simba ile wakifungwa ukipita karibu yake unaweza kupigwa konzi. Hivyo tuheshimiane sijawahi kukufata nikakwambia nina nyege nitoe au la. Huu ushabiki sijaanza leo so kwa mnaoniattack kwa kunitusi tegemeeni matusi hayo yatawarudia. Nitukane mbumbu kama ss tunavyowaita hamna akili etc. Lakini hata ningekua na Nyege wewe ulienambia huna hadhi ya kunitoa.
Mkuu siku nyingine ukiona comment isiyokuridhisha , usiijibu.itasaidia kujiwekea heshima na kulinda utu wako

Wajinga ni wengi sana usiwape nafasi kwa kuwajibu ili wakasimulie vijiweni kuwa nao huwa wanabishana na watu kunako social network
 
Kwamba unajiona we ndio una utu sana ?
 
Domolepeeee hata offside hana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mayele anapeperusha tyuuh dreads lol

Byuti byuti
 
Screenshot_20220907-074054_Chrome.jpg

Huku sio kubebwa bali ni kupakatwa. Wachambuzi uchwara kimyaaa
 
Ilo shambulizi lililo muhusisha Lomalisa halikua na madhara yoyote ndugu mbumbumbu fc, Shambulizi la goli lilianzishwa na Azizz K Kwa Kona fupi ambayo iliondolewa na mabeki wa Azam na ika mkuta kijana Feisal Salum na kufumua shuti lililo mshinda Kipa wa Azam.
Hii ni tofauti kabisa na Goli mbeleko baada ya Shomari kapombe kucheza mpira uliokua umetoka na kupiga Kross iliyomkuta John Boko na kufunga goli katika mechi iliyo wahusisha Simba na Azam.
Vile vile ni tofauti na tukio la Kibu Denis ku udaka mpira katika eneo lake la hatari katika mechi ya Simba na Azam pale Chamazi akigomea asipigwe kanzu. Refarii Heri Sasii kugomea penalty ya wazi ambayo Azam walistahili kupewa na kupeta.
 
Waamuzi Wamejiwekea Lengo...'Kudumisha Unbeaten' Maana Si Kwa Mbeleko hii.
 
Ilo shambulizi lililo muhusisha Lomalisa halikua na madhara yoyote ndugu mbumbumbu fc, Shambulizi la goli lilianzishwa na Azizz K Kwa Kona fupi ambayo iliondolewa na mabeki wa Azam na ika mkuta kijana Feisal Salum na kufumua shuti lililo mshinda Kipa wa Azam.
Hii ni tofauti kabisa na Goli mbeleko baada ya Shomari kapombe kucheza mpira uliokua umetoka na kupiga Kross iliyomkuta John Boko na kufunga goli katika mechi iliyo wahusisha Simba na Azam.
Vile vile ni tofauti na tukio la Kibu Denis ku udaka mpira katika eneo lake la hatari katika mechi ya Simba na Azam pale Chamazi akigomea asipigwe kanzu. Refarii Heri Sasii kugomea penalty ya wazi ambayo Azam walistahili kupewa na kupeta.

Kwahiyo kwa vile halikua na madhara ndio waamuzi watuhusu tu mipira iliyotoka irndelee kuchezwa. Unahisi bila huo mpira wa Lomalisa hiyo kona ingepatikana? Umetoka kusoma kwa Edi huko kakupotosha na wewe unaleta hizo ngojera hapa.
 
Waamuzi wa bongo njaa sana watakuwa wanaBET kama si kuhongwa Serikali iliangalie suala hilo.
 
Ilo shambulizi lililo muhusisha Lomalisa halikua na madhara yoyote ndugu mbumbumbu fc, Shambulizi la goli lilianzishwa na Azizz K Kwa Kona fupi ambayo iliondolewa na mabeki wa Azam na ika mkuta kijana Feisal Salum na kufumua shuti lililo mshinda Kipa wa Azam.
Hii ni tofauti kabisa na Goli mbeleko baada ya Shomari kapombe kucheza mpira uliokua umetoka na kupiga Kross iliyomkuta John Boko na kufunga goli katika mechi iliyo wahusisha Simba na Azam.
Vile vile ni tofauti na tukio la Kibu Denis ku udaka mpira katika eneo lake la hatari katika mechi ya Simba na Azam pale Chamazi akigomea asipigwe kanzu. Refarii Heri Sasii kugomea penalty ya wazi ambayo Azam walistahili kupewa na kupeta.
Kwa hiyo unahalalisha kasa la nyie kubebwa kwamba sababu wengine walifanyiwa na nyie mfanyiwe?

Na hiyo kona ilikuja tu kutoka mbinguni bila ya hiyo cross ya mchongo?
Msitumie nguvu kujieleza sana. Kiufupi mmebebwa sana na hata mbeleko ikachanika.
 
Back
Top Bottom