Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kuna baadhi ya kauli ukiona mtu anapendelea sana kuzitumia, unajua kabisa ni fukara wa kiuchumi na akili.Yanga still unbeaten,ikiuma chomoa ukanye
Kwa hizi akili zenye kutoa hizi kauli, nani anayeweza kufikiria kuwa una familia inayokutegemea?