FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Washazoea kusema timu ya TFF inabebwa sasa nataka leo kila mmoja kwa nafasi yake atoke akiri kuwa lile sio goli halali

Vinginevyo wawe na uvumilivu wakiona na timu nyingine ikinufaika na madhaifu ya mwamuzi na ile tabia ya kusema wanaonewa ife
Sio goli halali ki vp ilikua offside au ?
 
Mshkaji wenu Funguo kila akishika mpira anageukia kwenu...
Kaka mpira hesabu, na sio matokeo ya mechi moja ndio yakakufanya ukatoa pesa zote hadi kwenye kidosho ili mradi tu umsajili, kisa umeona kamfunga Simba.

Ni mchezaji mzuri ila sio wakumringanisha na Chama kama ambavyo wana Yanga wengi wamekuwa wakijaribu

Kacheza mechi 8, ana assit 1 na goli 0

Hiyo mentality ya kuona kama hapewi heshima anayo stahili imempelekea kutafuta goli hata katika mazingira ambayo hayawezekani

Kapokea pasi katikati ya uwanja ana fosi apige long shoot ili afunge atoe mkosi.

Kufunga atafunga tu ila sio lazima afunge kwenye mechi hizi, kuna mechi nyingi na timu mbovu mbovu atunze energy yake huko anaweza score hata hattrick
 
Kolo una kiu ya kuona Yanga inafungwa [emoji23][emoji111],Yanga still unbeaten na sijui kama kuna timu ya kumfunga Yanga hapa nbc
kwa staili hii hata ubeated 100 mtafika. nikikumbuka ule mchongo wa namungo mwaka jana na ya leo na azam [emoji23][emoji23]
 
Mwaisa imagine unapata refa wa mchongo kama huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Refa angekua fair azam wangecheza pungufu leo,sema makolo mmejizimisha data tu,yule bajana alistahili 2nd yellow
Hahaha ila watu

Umenikumbusha kuna jamaa alikuwa akimlalamikia mke wake hajui kupika mpaka ikafuka hatua yule dada akawa anakosa amani.

Watu wakajitokeza kumfundisha namna ya kupika chakula kizuri kimya kimya bila mume wake kujua.

Siku msosi umeandaliwa mezani jamaa anakula chakula kitamu lakini badala ya kumpa sifa mpishi, jamaa akawa anatoa sifa kwa muuza genge kwa kumuuzia mkewe nyanya nzuri kwasababu ya mchuzi wake.

Pamoja na fair zote mlizopewa na kubebwa na mwamuzi lakini ulichokiona ni redcard kwa Azam tu?
 
Byuti Byuti🤣🤣🤣
 

Attachments

  • FT3EdAUXEAEt-JD.jpeg
    FT3EdAUXEAEt-JD.jpeg
    51.1 KB · Views: 2
Unbeaten ndo nini au mimi sielewi?.Yani mnatoka sare still unajiita unbeaten sasa hayo magoli mawili ni madafu?
Na hiki ndicho kiliwasababishia msimu uliopita wawe unbeaten

Namungo walinyimwa penati

Namungo waliadhibiwa kwa penati ya mchongo

Na ipo ile ya Mayele kushika halafu penati wakata wao

Hizo ni mechi ambazo zilikuwa zinamalizika Yanga akiwa amefungwa bila hiyo michongo kufanyika
 
Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC.

Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc nayo ikijaribu kutafuta alama 3 huku ikiwa haina kocha mkuu.

Mechi inategemewa kuwa ngumu na ushindani, tukutane hap kwa live updates.

Mchezo unaendelea, Azam FC imekuwa ikitanguli mara zote kisha Yanga inarejesha mashambulizi, mabao ya Azm FC yamefungwa na Daniel Amoah dakika ya 25 na Malickou Ndoye dakika ya 65.

Mabao ya Yanga yote yamefungwa na ni Feisal Toto katika dakika ya 57 na 77.

Mashambulizi ni makali, hakuna timu ambayo inakaa nyuma, kila upande unapanda kushambulia unapopata nafasi hiyo.

Zimeongezwa Dakika 3

Mchezo umemalizika kwa matokeo ya 2-2.
Dah, naagiza uchunguzwe aisee[emoji23] updates gani sasa hiii[emoji848]
 
Na hiki ndicho kiliwasababishia msimu uliopita wawe unbeaten

Namungo walinyimwa penati

Namungo waliadhibiwa kwa penati ya mchongo

Na ipo ile ya Mayele kushika halafu penati wakata wao

Hizo ni mechi ambazo zilikuwa zinamalizika Yanga akiwa amefungwa bila hiyo michongo kufanyika
40 games now... Hebu muelimishe huyo mbumbumbu mwenzako maana ya unbeaten kuliko kuandika utetezi ulioandika hapa..
 
Back
Top Bottom