FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Refa angekua fair azam wangecheza pungufu leo,sema makolo mmejizimisha data tu,yule bajana alistahili 2nd yellow
Angecheza fair yanga asingepata goal la kwanza na rafu uya dube ingekuwa penati
 
Hata BM hakupaswa kumaliza hii mechi
Refa kiujumla alikua na makosa mchezo wote,kuna sehemu kawauma Yanga na kuna sehemu kawabeba,na kwa azam kafanya hivyo hivyo,kwa tukio la morrison si la kiungwana ila pale refa alikua mbali sana na hata line 1 kule aliko ni ngumu kuona,wote tumeona baada ya marudio,refa akua fair pande zote
 
Kwahyo hyo red card inaondoa ukweli kama mmebebwa goli la mpira uliotoka mkarudisha ndani? Hata ww utakua hujui mpira.
Makolo mtabaki kulaumu vitu ambavyo hamvijui,ule mpira uliotoka ilisitahili kuwa Kona,Ila kibendera aliuchuna,matokeo yake ukaingizwa ndani likawa goli
 
Yule mwarabu wa nguruka si anapenda kusema wanaonewa haya Refa leo amewabeba basi aseme pia na hilo
Hawezi hata kuzungumzia hilo kwasababu shabaha yake siku zote ni kuona mashabiki wa Yanga wanakuwa sambamba kwenye personal beefs zake

Hili nimeliona likipokelewa kinyume na mashabiki wachache sana wenye kujitambua, mfano naoweza kuutumia ni yule Zungu ambaye ni albino mwenzake kiukweli katika hili amemkataa na kuweka facts

Wapo Yanga ambao wanajitambua wanaelewa uhalisia wa hizi mambo ila nao wameamua kukaa kwenye mstari mmoja na mashabiki oya oya ili mradi wasionekane hawana mapenzi na Club.
 
Angecheza fair yanga asingepata goal la kwanza na rafu uya dube ingekuwa penati
Kolo una kiu ya kuona Yanga inafungwa 😂✌,Yanga still unbeaten na sijui kama kuna timu ya kumfunga Yanga hapa nbc
 
Hawezi hata kuzungumzia hilo kwasababu shabaha yake siku zote ni kuona mashabiki wa Yanga wanakuwa sambamba kwenye personal beefs zake

Hili nimeliona likipokelewa kinyume na mashabiki wachache sana wenye kujitambua, mfano naoweza kuutumia ni yule Zungu ambaye ni albino mwenzake kiukweli katika hili amemkataa na kuweka facts

Wapo Yanga ambao wanajitambua wanaelewa uhalisia wa hizi mambo ila nao wameamua kukaa kwenye mstari mmoja na mashabiki oya oya ili mradi wasionekane hawana mapenzi na Club.
Screenshot_20220906-212230_Instagram.jpg
Screenshot_20220906-212350_Instagram.jpg

Wewe unajua mpira weka ushabiki kando,
 
Hii game Yanga kabebwa sana
Sio kiivo mkuu, apart from huo mpira wa nje hebu nioneshe pengine ni wapi Yanga kabebwa??? Unajua watu wengi wanatamani waone Yanga anafungwa ndio maana unaona haya malalamiko ya washabiki hasa wa Simba kuhusu kubebwa Yanga unayasikia Kwa wingi
 
Hyo michambuzi ya Tanzania kazi kuiongelea Simba tuu kwa maujinga yao hili kesho sijui watasemaje swhwaiiini zenu kama mko humu
Mauli Kitenge leo kwenye sports HQ akajidai ye ndio ripota wa habari ya Kisinda kana kwamba ye ni moja ya wadau ambao wako inner na walihusika kila hatua kwenye ishu ya usajili

Huyu hata akiwa studio namuona mara kwa mara kila ambapo wachambuzi wengine wanajaribu kuikosoa Yanga amekuwa akiwakatisha na kusema "ebu tupate matangazo ya mshindo milionea"
 
Hivi muda wa kupeleka majina ya timu caf bado upo tuwapeleke coastal union?

Hizi timu mbovu zinazonunua waamuzi zitaenda kuliaibisha taifa.
 
Refa kiujumla alikua na makosa mchezo wote,kuna sehemu kawauma Yanga na kuna sehemu kawabeba,na kwa azam kafanya hivyo hivyo,kwa tukio la morrison si la kiungwana ila pale refa alikua mbali sana na hata line 1 kule aliko ni ngumu kuona,wote tumeona baada ya marudio,refa akua fair pande zote
Acha kupamba mavi maua makosa ya kuinufaisha yanga tu
 
Back
Top Bottom