FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Mimi niliwaambia waachane na Simba waangalie kikosi chao wajiandae wao sio wanatuongelea sisi na mambo yetu ooh kwa kikosi hiki kwa kikosi hiki sasa si mmeona kikosi cha kawaida tuu. Halafu mpira sio kikosi tuu mpira na bahati si mnaona leo mmepata bahati mmebebwa bureee yani kwa raha zenu
 
Ndiyo maana Yanga hawakutaka friendly match za kimataifa kwa mpira huu ndiyo wakutane na Al hilal mbona tutapatwa na aibu nchi yetu
 
Mimi niliwaambia waachane na Simba waangalie kikosi chao wajiandae wao sio wanatuongelea sisi na mambo yetu ooh kwa kikosi hiki kwa kikosi hiki sasa si mmeona kikosi cha kawaida tuu. Halafu mpira sio kikosi tuu mpira na bahati si mnaona leo mmepata bahati mmebebwa bureee yani kwa raha zenu
Yan Yanga hii uifananishe na makolo waliofungwa juzi na timu ya djibout ambayo azam aliifunga 3 😂,ebu kuwa serious kidogo 😂😂
 
Sema bajana ipo.siku ataua mtu

Nashangaa national team tunapangiwa takataka mzamiru na mkude
Na hili waliangalie kwakweli timu ya Taifa ifumuliwe tumechoka uyanga na usimba humo.
 
Back
Top Bottom