FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Yan Yanga hii uifananishe na makolo waliofungwa juzi na timu ya djibout ambayo azam aliifunga 3 😂,ebu kuwa serious kidogo 😂😂
Mmepigwaaa hakuna cha clean sheet mwaka huuu mko hovyooo kila kona. Wakubebwa fc
 
Goli la kuswazisha mpira ulishakuwa nje
9E81EB95-2E2E-45A2-9C66-F281A68B6033.jpeg
 
Simba kufungwa na djibout unaona kesi?.Kesi ni Yanga kubebwa leo kila mtu ameona aibuuuu
 
Zalan wanawamaliza Yanga mechi zote hapa dar,Yanga wasipojipanga mechi za kimataifa zitaishia ndani ya mipaka ya Tanzania bila passports kugongwa mihuri au kupanda ndege
 
We are still unbeaten,azam leo ndio mliipa nguvu ivunje rekodi,tunapasua kila atakaekuja mbele yetu
Unbeaten ndo nini au mimi sielewi?.Yani mnatoka sare still unajiita unbeaten sasa hayo magoli mawili ni madafu?
 
Back
Top Bottom