FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Yanga pamoja na kubebwa ila moto wameuona vizuri tu
 
Si wao ni mabingwa wa kuanzisha nyuzi za simba kesho discusion ziwe za goli la nje goli la refa
Washazoea kusema timu ya TFF inabebwa sasa nataka leo kila mmoja kwa nafasi yake atoke akiri kuwa lile sio goli halali

Vinginevyo wawe na uvumilivu wakiona na timu nyingine ikinufaika na madhaifu ya mwamuzi na ile tabia ya kusema wanaonewa ife
 
Wamepelekewa moto vizuri haswaas🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom