Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilibana mbumbu zoteee
Mtani[emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilibana mbumbu zoteee
Ndo huyohuyo...[emoji445][emoji445]Juma shabani kakosa penati kipa kaicheza
Kuanzia mashabiki wa bongo mpaka marefa wote ni sawa tuRose Mhando
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtani[emoji119]
Hatimae umekubali ? Nikimuangalia namuona Denis Onyango wa enzi zile.Huyu golikipa wa Azam ni hatari!!
Acha kuharibu uzi. Penati likuwa halali.Rose Mhando
Leo wananchi tunalala! Tukijitahidi sare.
Acha uongoUzi unapelekwa na wana Simba wana yangayanga matumbo joto mida hii wakifunga ndo utawaona humu yani hawanaga mchcheto na vitu vyao
Halafu mbona Mods hawatoi Updates huko juu jamani....Uzi unapelekwa na wana Simba wana yangayanga matumbo joto mida hii wakifunga ndo utawaona humu yani hawanaga mchcheto na vitu vyao
Wana wivuuuu[emoji1787]Halafu mbona Mods hawatoi Updates huko juu jamani....
Yaani kuonyesha uhakika na alichokifanya ..ameudaka kabisaaNamba ya mpesa ya kipa tafadhari
Kwa refa huyu ni kweli.Ushindi uko palepale Kwa Wananchi... Hebu tulieni muone maajabu ya soka