Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Timu hii inapendwa hadi na makolo tumetulia makusudi kuona nani ataanzisha thread!hatimae kolo limejitokeza,hii ni timu ya wananchi karibuni wote jangwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kivile mkuuNgoja nilione.. Maana atakuwa ameungana na PELE, MARADONA, MESSI na thiery Henry.
Timu hii inapendwa hadi na makolo tumetulia makusudi kuona nani ataanzisha thread!hatimae kolo limejitokeza,hii ni timu ya wananchi karibuni wote jangwani
Kwani kwenye ngao ya jamii aliwapiga ngapi vile?Huyu shikalo ni zaidi ya pazia. hamna kipa hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] permission grantedNaomba jina Mayele kuanzia leo liwe neno la kiswahili sanifu linalomaanisha #ushindi#
BAKITA fanyieni kazi hili.
Shida iko palepale.[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Kipindi cha pili kimeanza
Yaani hawatoi upinzani wowote Kwa Yanga.. sema Yanga nao km kawaida yao wanapoteza nafasi nyingi za kufungaMtibwa wamekuwa wachovu sana
Uzi hata hautembei. Ila hii Yanga tuna utajiri mkubwa wa viungo.Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban
37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa
Live updates
Kocha bado anataka magoli zaidiAzizi ki &nkane,bigirimana in
Fei toto & moloko ,sure boy out
Yanga wameridhika wameanza kupoozesha mpiraKocha bado anataka magoli zaidi
Ujinga uliopitiliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] permission granted
What does it mean?Timu hii inapendwa hadi na makolo tumetulia makusudi kuona nani ataanzisha thread!hatimae kolo limejitokeza,hii ni timu ya wananchi karibuni wote jangwani
Golikipa kajitahidi sana.Beki ndiyo inayopoteana sasa unataka golikipa afanyaje mbele ya mchezaji kama mayele uku mabeki wameshapitwa.Huyu shikalo ni zaidi ya pazia. hamna kipa hapo
Wanacheza utafikiri watoto.timu ata haielweki inacheza nini.Mtibwa wamekuwa wachovu sana