mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Hakuna mchezaji kama huyu Simba.Hatimae Domokaya amefunga
Hawachelewi kusema kawafunga timu mbovu ila wakikumbua alishawafunga CAF wanatulia.Azizi ki ameanza balaa lake tulieni hivyo hivyo
Hawawezi kusema kitu wanaumia moyoni wakikumbuka kule CAF walivyofanywa na aziz wanabaki kimyaHawachelewi kusema kawafunga timu mbovu ila wakikumbua alishawafunga CAF wanatulia.
Kapambane na asukile kesho mbeyaMkishinda ndio mnakuja
Kweli kwa kiwango hiko bado anatakiwa kuendelea kuimarisha uwezo wakeHakuna mchezaji kama huyu Simba.
Unatamani timu yako ifunge magoli ya namna ile ila ndio hivyo tenaMagoli ya mchongo leo bahasha imetembea mtibwa kama wapo mazoezini vile.
Tumetembeza bahasha kuanzia ngao ya hisani.Magoli ya mchongo leo bahasha imetembea mtibwa kama wapo mazoezini vile.
37' Mayele anafunga goli kama la Maradona
Hata nyie hua tunawabahashiaMagoli ya mchongo leo bahasha imetembea mtibwa kama wapo mazoezini vile.