FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Go Yanga
Tunahitaji makombe yanayoeleweka
FA
Ligi kuu

Sio Tuntura Cup [emoji81][emoji2957]
Kombe ni kombe tu; hata kama mashindano yenyewe yameanzia fainali (ngao ya Jamii) au nusu fainali (Muungano) kinachotakiwa na kuwa na kitu kabatini, siku ya mkutano mkuu kinaonyeshwa kama mafanikio.
 
Kila kheri Chama Langu Young Africans sc 💚💛💚


#DaimaMbele #NyumaMwiko 💛💚💛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…