FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Kambole FC aka Nyuma (kuna) Mwuko FC aka Majini FC aka Mihogo FC
 
Niko pamoja na wazee wa Asali.....
Leo chura anaenda kulambishwa asali chungu kutoka katika kichuguu
Matokeo
0-0
FT
 
Hiyo ndiyo ligi? Mmeulizwa swali rahisi tu ni mchezaji gani huyo mwenye shida huko FIFA, mnajiumauma tu. Hata nyie wenyewe hamumjui
Kwani haya mashindano ya FA hayasimamiwi na sheria za FIFA? Hujui kama bingwa wa FA anawakilisha nchi kwenye mashindano ya CAF Confederation cup?
Au unafikiria FA ni kama bonanza la kombe la muungano kwamba CAF na FIFA hayatambuliki?
 
Hiyo ndiyo ligi? Mmeulizwa swali rahisi tu ni mchezaji gani huyo mwenye shida huko FIFA, mnajiumauma tu. Hata nyie wenyewe hamumjui
Kwamba mchezaji akifungiwa na Fifa basi anaruhusiwa kucheza Kombe la FA ila ligi ndio haruhusiwi?
Hivi kwanini washabiki wa Simba mnapenda kuamini habari nyepesi nyepesi km hizi?
Ambazo haziwezi kuifanya simba ipate matokeo mazuri
 
Kila la kheri Wananchi wa Tanzania. Leo lazima tushinde.
 
Nasikia wametuumizia Ibrahim Bacca kwa makusudi; yaani timu zinawinda kuumiza wachezaji wa Yanga kimakusudi. Azam walimuumiza Pacom akakaa nje kwa takribani miezi miwili
 
Back
Top Bottom