FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Kwani haya mashindano ya FA hayasimamiwi na sheria za FIFA? Hujui kama bingwa wa FA anawakilisha nchi kwenye mashindano ya CAF Confederation cup?
Au unafikiria FA ni kama bonanza la kombe la muungano kwamba CAF na FIFA hayatambuliki?

Kwamba mchezaji akifungiwa na Fifa basi anaruhusiwa kucheza Kombe la FA ila ligi ndio haruhusiwi?
Hivi kwanini washabiki wa Simba mnapenda kuamini habari nyepesi nyepesi km hizi?
Ambazo haziwezi kuifanya simba ipate matokeo mazuri
Mambo yasiwe mengi. Nitajieni mchezaji aliyepewa hukumu ili tuendelee na huu mjadala
 
Back
Top Bottom