FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Sasa nikutajie mchezaji wakati hajatajwa kwenye barua ya TFF, nyie mliokuwa wavivu kufikiria mkaamua kujitungia mchezaji kisa tu hachezi. Hamkuwaza kuwa ana jeraha
Sasa kama haujui mchezaji ni yupi na haujui hukumu yake inasemaje, kipi kinakupa ujasiri wa kuongea unachoongea? Nini hasa unatetea au kupinga kama hauna taarifa ya kile unachokiongea?
 
Kipindi cha pili tunawamaliza hawa Tabora united vibaya sana
 
Hili ball la leo la hovyo
Uto wameingia kwenye mfumo licha yakuongoza
 
Back
Top Bottom