FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

Hamna kitu hapa, modes hawataki comment fupi fupi 🤣
 
Hili ball la leo la hovyo
Uto wameingia kwenye mfumo licha yakuongoza
Timu haiwezi kucheza vizuri kila siku ukizingatia wametoka kucheza juzi tu na bado keshokutwa wana mechi ya ligi kuu. Kuna rotation ya kina Kibwana hivyo kocha kalenga kwenye kufuzu na pia wachezaji wengine wapate muda wa kucheza mechi za ligi kuu keshokutwa
 
🤣🤣🤣🤣Musondaaa goooooooooooooal....imekuwa hewaaaaa
 
Back
Top Bottom