David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Ufanye rafu hatarishi halafu uchekewe ?Hii fvs ina bifu na rangi nyekundu na nyeupe.
Huyu Bakka asipokuwa makini hii FVS itamla kichwa sana.
Ufanye rafu hatarishi halafu uchekewe ?Hii fvs ina bifu na rangi nyekundu na nyeupe.
Angalia kandanda safi kutoka jangwaniSpain ya buza
Fvs ni ajili ya wote,, mpira uchezwe kwa haki mkuuHii fvs ina bifu na rangi nyekundu na nyeupe.
Pesa bank ni matapelianza tu ndugu yangu lakn uachane na wale wa pesa bank
Msimu huu kadi nyekundi zitakiwa nyingi sana.Ufanye rafu hatarishi halafu uchekewe ?
Huyu Bakka asipokuwa makini hii FVS itamla kichwa sana.
Ile rafu unaikataa?Hii fvs ina bifu na rangi nyekundu na nyeupe.
Barcelona ya JangwaniHii sio Yanga.
Ni Barcelona wameamua kuvaa jezi za Yanga.
Acha kujizima data kiongozi.Hii sio Yanga.
Ni Barcelona wameamua kuvaa jezi za Yanga.
Wala sikuwa na hiyo maana.Ile rafu unaikataa?
Nyie pambaneni na osimen wenu doumbia.Ushauri kwa kijana wa zamani Shalulile: Tafuta vya kuchinja, vya kunyonga ulibahatisha tu, havipatikani kila siku! Ona sasa hadi unarudishwa benchi bado unasubirua vya kunyonga! Huoni wenzio wanavyochinja! Shauri yako, siku wananchi wamekosa uvumilivu usiseme sikukuambia!!
Anatia hofu sana tumpe mudaIla huyu Cheikh Toure ni kama hofu yangu dhidi yake ilikuwa sahihi! Bora hata Peter Shalulile anaonekana
😀😀😀👆👆👆Hawa watakula chuma zaidi ya 4
Naskia wakala wa Osimhen wa kuagiza online kazima simu.Nyie pambaneni na osimen wenu doumbia.
Yanga ni wanaumee!