FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Yanga kuingia makundi itakua ni story ya mjini ila Simba kuingia makundi ni kawaida!
Wewe huingii makundi, timu huna. Yaani hizi mechi zenu za KMC na ile ya Mbeya ndio nimewaona vizuri timu huna,wewe zungumzia historia mimi na zungumzia current forms ya timu.
 
Wewe huingii makundi, timu huna. Yaani hizi mechi zenu za KMC na ile ya Mbeya ndio nimewaona vizuri timu huna,wewe zungumzia historia mimi na zungumzia current forms ya timu.
Hatimae umeenda raundi ya pili!
 
Hatimae umeenda raundi ya pili!
We endelea kuenjoy ila kama unasubiri mzunguko Yanga aharibu sahau.

Ushauri wangu tu msimu huu Simba Queens ndio watakao wapa raha,endeleeni kuwa support kwani washawapa CECAFA, ila huku jiandae na maumivu kwani Yanga tutadominate tutakavyo.
 
Tatizo sio ubovu wa Zalan bali tatizo ni Mayele maana hata nyie aliwatundika inamana nanyi wabovu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…