FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Hivi hii Zalan ni timu kweli au ni vivuli vinacheza jamani

Zalan Historia Yao Ukisoma Hutashangaa kilicho Tokea, Ndio Maana Waliamua Kuja Tanzania, Hata Hoteli Walio Fikia Ni Shida.

Kama Yanga Wanatoka Kipindi Kizima Bila Goli basi Safari yao Mbele itakuwa Ngumu sanaa
 
Naona unajipa kazi kutabiri ya mbele na kurahisishia ya mbele Yanga lazima aingie makundi,23 Oct nakupasua.Wewe ionee huruma timu unayo ishangilia ina hali mbaya.
 
99DA6FEF-6FEF-4561-9302-A6AD28A94DD6.jpeg
 
KUNA MAKOLO WANASEMA MAYELE KAPATA VIBONDE UKIWAULIZA NA WALE WA NGAO YA HISANI WALIKUA VIBONDE WANAPOTEANA
.
UKIONA MTU KAONEWA LETA TIMU YAKO MALALAMIKO AYASAIDII
 
KUNA MAKOLO WANASEMA MAYELE KAPATA VIBONDE UKIWAULIZA NA WALE WA NGAO YA HISANI WALIKUA VIBONDE WANAPOTEANA
.
UKIONA MTU KAONEWA LETA TIMU YAKO MALALAMIKO AYASAIDII
 
Yote si magoli au ya kipindi cha kwamza goli moja sawa na mawili.Nakushauri ndugu yangu na mashabiki wa Makolo msiangalie mechi za Yanga mtaumia kwani matokeo mnayo ya tamani haya tokei kuweni wavumilivu.
Yanga haiwezi kuingia hatua ya makundi!
 
Jipe moyo ila makundi msimu huu lazima. Wewe ionee huruma timu yako juzi kakosekana Kanoute, Mkude na Mzamiru wanashindana kupiga back pass,timu huna wewe.

Msimu kuwa mvumilivu unapo tizama mechi za Yanga kwani ushindi kwetu ni lazima.
Toka 1998 Yanga haijaingia hatua ya makundi aisee!
 
Back
Top Bottom