Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Isije kabisa bado huku ni ujinga tupuAfcon mnaweza kuandaa kweli na hizi taaa zimawaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu wa kumwajibisha mtu awamu hii...Hii ni aibu ya Karne, viongozi wa uwanja huu Wawajibishwe.
Kwanini taa zizime
Juzi mechi ya Derby wamechukua pesa za nini kama uwanja tu kufanya marekebisho inakuwa shida hiviHalafu hatujawahi kusikia mtu akiwajibishwa kwa haya madudu!
Yaani uwanja unaokusanya mamilioni ya shilingi kwenye mechi za ligi kuu, na na zile za Kimataifa; inakosa hela ya kununua standby generator!!! Hovyo kabisa.
Hakika Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu mashabiki wa aina yako.Hizi nilishasema ni fitna ili Simba atolewe kwenye Super League kwa kukosa sifa za kutokuwa na uwanja wa nyumbani.
Akili hua mnapeleka wapiHizi nilishasema ni fitna ili Simba atolewe kwenye Super League kwa kukosa sifa za kutokuwa na uwanja wa nyumbani.
Na waziri wa michezo nae atimuliwe hii mara ya pili watu hawabadilikiNatarajia usiku huu meneja wa uwanja na Meneja wa TANESCO Temeke kusimamiswa kazi. Ni aibu hii daah[emoji35]
simba si ana uwanja wake mo arenaHizi nilishasema ni fitna ili Simba atolewe kwenye Super League kwa kukosa sifa za kutokuwa na uwanja wa nyumbani.
Tunalazimisha tuonekane tuna uwanja bora, matokeo yake wanaondoka na kumbukumbu ya taa kuzima..Bora hata wangejichezea zao saa 10 jioni. Muda huu watu wangekuwa wameshafunga mahesabu. This is too much.
Utaangalia nininwakati mechi imesimama?hakuna link inayonyesha huu mtanange