mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #421
Achana nae huyo hao ndio wale aliyosema Aden rageKombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende
Then Yanga tumetoka...Game inaelekea kuwa suspended
Hizi zote ni jitihada za serikali ya awamu ya sita katika kutoa furaha kwa watanzania #MamaHanaMbambambaHutosikia kenge waimba mapambio wakisifu hilo
hadi sasa mbumbumbu mnashikiria rekod ya kuwanga uwanjaniIla Utopolo sio wa kuwaamini sana. Washirikina sana, usije shangaa washaambiwa na sangoma wao magoli yatafungwa muda flani hivyo wafanye hujma mchezo usimame muda huo upite😆
Ushindi wa mezani hivi huwa unakuaje???...
Asante Ila uniletee kanuni za CAF.Haiwezi kutokea, zaidi tu game itarudiwa
Wewe jamaa uwe unafikiria kabla ya kuandika. Una uhakika gani kama wanaoumia zaidi ni Rivers?Hamna Rivers ndiyo wanaumia zaidi kwa mpira kusimama
Uko sahihiAnajikomoa mwenyewe kwa kuyakumbatia majinga badala ya kutawajibisha
Mental illness is realHuu uwanja ufungiwe tu hadi Super League ianze kupisha ukarabati. Kwanza timu ya maana Simba imeshatoka, hawa wengine wanatupotezea muda tu na kuiba pesa za wageni.
Ila hao mbumbumbu hawajawahi kuzima uwanja kishirikinahadi sasa mbumbumbu mnashikiria rekod ya kuwanga uwanjani
USSR asikanyage hapoKama timu yako haipo kimataifa usikanyage hapaView attachment 2604235
Rivers wako nyuma, wanahitaji kucheza kwa kasi. Mpira kusimama kwa sababu yoyote ile inawapoza miili yao. Wakirudi itabidi wapashe upya.Wewe jamaa uwe unafikiria kabla ya kuandika. Una uhakika gani kama wanaoumia zaidi ni Rivers?
Unafahamu hili tatizo lilijitokeza pia kwenye mechi ya marudio kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda the Cranes? Na mwisho wa mchezo Taifa Stars iliishia kufungwa goli 1-0?