mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #421
Achana nae huyo hao ndio wale aliyosema Aden rageKombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende