FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Kombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende
Achana nae huyo hao ndio wale aliyosema Aden rage
 
Ila Utopolo sio wa kuwaamini sana. Washirikina sana, usije shangaa washaambiwa na sangoma wao magoli yatafungwa muda flani hivyo wafanye hujma mchezo usimame muda huo upite😆
hadi sasa mbumbumbu mnashikiria rekod ya kuwanga uwanjani
 
Hamna Rivers ndiyo wanaumia zaidi kwa mpira kusimama
Wewe jamaa uwe unafikiria kabla ya kuandika. Una uhakika gani kama wanaoumia zaidi ni Rivers?

Unafahamu hili tatizo lilijitokeza pia kwenye mechi ya marudio kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda the Cranes? Na mwisho wa mchezo Taifa Stars iliishia kufungwa goli 1-0?
 
Rivers wako nyuma, wanahitaji kucheza kwa kasi. Mpira kusimama kwa sababu yoyote ile inawapoza miili yao. Wakirudi itabidi wapashe upya.
 
Back
Top Bottom