Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
kula chuma
Amekuwa hivyo leo hii au siku zote?Clement Mzize hana kabisa utulivu. Katika nafasi 5, anaweza asipate hata moja!! Akifanikiwa kuwa na utulivu, atakuwa ni mshambuliaji hatari sana nchini.
Huyu sijui wa nani vile waziri wa michezo wa sasa alikuwepo siyo?Wewe jamaa uwe unafikiria kabla ya kuandika. Una uhakika gani kama wanaoumia zaidi ni Rivers?
Unafahamu hili tatizo lilijitokeza pia kwenye mechi ya marudio kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda the Cranes? Na mwisho wa mchezo Taifa Stars iliishia kufungwa goli 1-0?
Shangaa wewe mkuukwa hali hiii wataweza kweli kuendesha treni za umeme,au ndio kulaza watu maporini
Kumbe ni kwa wengi.Ipo sema haioneshi sijui shida niniView attachment 2605319
Mshindi wa Afcon ya Mbagala atazawadiwa nini?Labda Afcon ya mbagala Lakini kwa tukio hili ambapo viongozi wa CAF wapo utawaeleza Nini
Basi nami nilipo i-test nikaona ina load mda mrefu nikajua ni mtandao uko downKumbe ni kwa wengi.
Nilijua ni kwangu tu labda network ilikuwa ipo chini
We kolo umechanganyikiwa?Simba tumetoka kuiheshimisha nchi, hawa uto wanaharibu kazi yote iliyofanyika kule Morocco.