FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Wizara ya nishati,
Tanesco,
TFF,
Meneja wa uwanja.

Nani anahusika na huu uhuni? mnasababisha ladha ya mpira kushuka, mnalitia aibu taifa lionekane ni shithole.

Mnajua ni nchi ngapi zinaangalia mpira kupitia runinga?

Mnajua namna heshima na kuaminiwa kwa taifa kutakavyopungua, kwa matatizo yenu ya kipuuzi?

Mnajua namna mnatakavyo haribu saikolojia za wachezaji kwa kusimama mpira Kwa dakika zote hizo?

Halafu kwanini msijiuzuru kwa kulinda heshima na hadhi zenu.

Maanina nyie, kwani lazima muwe viongozi ?

Jack Daniel
 
Wewe jamaa uwe unafikiria kabla ya kuandika. Una uhakika gani kama wanaoumia zaidi ni Rivers?

Unafahamu hili tatizo lilijitokeza pia kwenye mechi ya marudio kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda the Cranes? Na mwisho wa mchezo Taifa Stars iliishia kufungwa goli 1-0?
Huyu sijui wa nani vile waziri wa michezo wa sasa alikuwepo siyo?
 
Asec mimosas anaongoza 1-0, Malumo Gallant pia anaongoza 1-0, mechi zote ni mapumziko
 
Simba tumetoka kuiheshimisha nchi, hawa uto wanaharibu kazi yote iliyofanyika kule Morocco.
 
Back
Top Bottom