FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Ni jambo la kawaida tu, hata ulaya taa Huwa zinazima na baada ya muda kabumbu linaendelea
 
Almanusira Yanga wapigwe chuma...

Ilimiminwa majalo toka upande wa beki ya kulia ya Yanga, mshambuliaji wa Rivers akiwa peke yake mpira ukamzidi kimo
 
Mipira ina njia zake mzee, kile kipindi mnamtupia sifa za kumfananisha na Haaland wanaojua mpira walikaa kimya hawakua wajinga.
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa mchezaji wa nusu fainali ya caf? Kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…