FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Mpira kusimamishwa zaid ya dakika 20 hi ni kashfa kwa taifa na club ya yanga na kama malalamiko yakifikishwa caf na river wakitoa hoja ambazo zitaonekana zinamashiko kwetu inaweza kutuumiza

Wizara husika zinashindwa kufanyia marekebisho hili tatizo za taa za iwanjaniii? Maana hili tatizo si mara ya kwanza ama ya pili ama ya tatu. Sasa hili ni tabu kwa ustawi wa taifa na mchezo wetu.
Ni jambo la kawaida tu, hata ulaya taa Huwa zinazima na baada ya muda kabumbu linaendelea
 
Almanusira Yanga wapigwe chuma...

Ilimiminwa majalo toka upande wa beki ya kulia ya Yanga, mshambuliaji wa Rivers akiwa peke yake mpira ukamzidi kimo
 
Mipira ina njia zake mzee, kile kipindi mnamtupia sifa za kumfananisha na Haaland wanaojua mpira walikaa kimya hawakua wajinga.
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa mchezaji wa nusu fainali ya caf? Kaa kimya
 
Kwahiyo wewe unaujua mpira siyo,?
Hapa aliitwa Haaland
Screenshot_20230430-201748.png
 
Back
Top Bottom