Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,397
- 2,469
Naunga mkono hoja ukiangalia mpira wa leo ndo unaona kuna levo tofauti kati ya Champions league na shirikishoKusema ukweli Vilabu vinavyocheza shirikisho vina uwezo mdogo sana wa kusakata kabumbu